
TABORA UNITED YATUMA UJUMBE HUU SIMBA
UONGOZI wa Tabora United umesema kuwa hauna hofo na mchezo wao dhidi ya Simba ambao utakuwa wa ligi wapo tayari kuchukua pointi tatu kwa namna yoyte watakapokutana ndani ya uwanja. Ofisa Habari wa Tabora United, Christina Mwagala amesema kuwa kikosi walichonacho pamoja na usajili mzuri waliofanya unawapa nguvu ya kupata matokeo kwenye mechi zao zote…