
MSHAMBULIAJI WA KAZI NI MNYAMA
RASMI nyota Freddy Michael Kouablan ingizo jipya ndani ya kikosi cha Simba atakuwa kwenye changamoto mpya baada ya kusaini dili la miaka miwili. Kouablan raia wa Ivory Coast ana miaka 26. Alikuwa ndani ya Klabu ya Ligi kuu ya Zambia ya Green Eagles. Rekodi zinaonyesha kuwa mshambuliaji huyo wa kazi ni mabao 14 na pasi…