>

HERI YA MWAKA MPYA 2024

JANUARI Mosi,2024 Neema ya Mungu imetuzunguka na kutufanya tuwe hapa kwa wakati mwingine katika hili tunapaswa kusema asante. Hakika ni wakati mwingine mzuri kwa ajili ya kuanza kupambania malengo ambayo yalianza kuandikwa tangu wakati ule unapambania yale unayohitaji. Kwenye ulimwengu wa mpira kila timu imefunga kwa mpango wake katika mechi za funga mwaka na wengine wana kazi…

Read More

CHASAMBI KUIBUKIA SIMBA

INAELEZWA kuwa mabosi wa Simba wapo kwenye hesabu za kukamilisha usajili wa nyota Ladack Chasambi ambaye yupo ndani ya Mtibwa Sugar. Nyota amekuwa kwenye rada za Simba na Yanga ambapo kila mmoja amekuwa akimvutia kasi kunasa saini yake. Hata hivyo Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba aliweka wazi kuwa usajili wao…

Read More

YANGA YAJIVUNIA JEMBE JIPYA, KAZI IPO

MGENI mwenyeji, Okra Magic ni mali ya Yanga yeye ni winga raia wa Ghana ambapo anajiunga na timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamond kwenye dirisha dogo. Desemba 31 2023 Okrah alitambulishwa ndani ya kikosi cha Yanga kwenye mchezo wa Kombe la Mapinduzi, Zanzibar. Katika mchezo wa funga 2023 ubao baada ya dakika 90…

Read More