Mbagala Rangi 3 Yafurahia Ujio wa Meridianbet

Nancy Ingram ambaye ni mhariri mkuu wa kampuni ya ubashiri Tanzania, Meridianbet akiongozana na timu yake nzima leo hii walifika Mbagala Rangi 3 kwaajili ya kugawa miamvuli kwa wafanyabiashara wadogowadogo.

Ikiwa bado hali ya hewa haijakaa vizuri kutokana na hizi mvua ambazo zinaendelea kunyesha Meridianbet wameona kuna haja ya kutoa miamvuli kwa wafanyabiashara kwaajili ya kujikinga na mvua ambazo huenda zikawa kizuizi kwa wao kuendelea na biashara wakati wa mvua.

Meridinabet inawajali sana wafanyabaishaar kwani hii sio mara ya kwanza kwa wao kupeleka miamvuli hiyo kwa wafanyabiashara hao, lakini ambacho kimewasukuma ni uhitaji kuonekana kuwa mkubwa sana.

Meridianbeti magwiji wa ODDS KUBWA Tanzania hii ni mara ya pili wanagawa miamvuli hiyo kutokana na uhitaji mkubwa wa wafanyabiashara wa eneo hilo na uwingi wa watu pia umefanya warejee eneo hilo.

Pia kumbuka kubashiri na meridianbet mechi za leo kuanzia pale BUNDESLIGA, LALIGA, SERIE A, na nyingine nyingi utusue mpunga wa maana umalize wikendi yako vizuri kabisa. Ingia meridianbet sasa na ubashiri.

Ugawaji huo wa miamvuli ulianza mapema kabisa ambapo timu ya meridianbet ilifika eneo husika na kuanza kutoa miamvuli hiyo huku kila mfanyabiashara wa eneo hilo akitaka kupata mwamvuli wake peke yake.

Wakati wa kutoa miamvuli hiyo, muongozaji wa msafara ambaye ni Mhariri wa meridianbet Bi Nancy alisema kuwa lengo la kurudi Mbagala Rangi 3 ni kutokana na uhitaji kuwa mkubwa zaidi kulingana na maeneo mengine hivyo ilikuwa muhimu kwa wao kurejea tena.

Na baada ya kupokea miamvuli hiyo wafanyabiashara wa eneo hilo walifurahi sana meridianbet kufika eneo hilo na kuahidi kwamba watatumia meridianbet kufanya ubashiri kujipatia pesa kila siku kwani wamesikia mazuri sana kwenye kampuni hii nje na ndani.

Meridianbet wamesema hili ni zoezi endelevu na watapita maeneo yote ya jiji la Dar es salaam kutoa kile ambacho watajaaliwa kwaajili ya watu wenye uhitaji mkubwa.

Vilevile meridianbet inakukumbusha kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rocketman, na Sloti kwa dau dogo tuu upige mkwanja wa maana.