Kupiga maokoto ni rahisi sana endapo utabashiri na meridianbet leo hii, mechi zipo kibao sana kuanzia hizi za AFCON na zingine kibao. Ndoto yako inaweza kutimia leo hii ukituliza kichwa chako vizuri.
Nigeria leo hii watakuwa wakimenyana dhidi ya Guinea Bissau huku timu zote zote zikihitaji ushindi wa maana ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kufuzu 16 bora. Guinea ndiye kibonde kwenye kundi hili kwani mpaka sasa hajashinda mechi yoyote huku akipewa ODDS 15.68 kwa 1.16 kushinda mechi hii. Nigeria wao wameshinda mechi moja na sare moja. Beti yako unaiweka wapi kati ya mechi hizi mbili?
Huku Equatorial Guinea ataumana dhidi ya Ivory Coast ambaye yupo nafasi ya 3 na pointi zake tatu baada ya kushinda mechi 1 na kupoteza mechi 1. Ivory yenye wachezaji wakubwa kama Franck Kessie, Ibrahim Sangare, Seko Fofana na wengine kuibeba timu yao leo? Mwenyeji kushinda mechi hii amepewa ODDS 9.60 kwa 1.34. Je nani kushinda leo, bashiri na meridianbet sasa.
Si kubashiri tuu, bali unaweza kucheza michezo ya Kasino ya mtandaoni ambayo hii inaweza kukupatia pesa papo hapo, ikiwemo Aviator, Poker, Roullette, Rocketman, Sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa kwa dau dogo tuu.
Mechi ya kibabe nyingine ni hapa kati ya Cape Verde dhidi ya Egypt majira ya saa 5:00 usiku, huku meridianbet wakimpa nafasi kubwa ya kushinda Misri kwa ODDS ya 1.47 kwa 6.66. Ikumbukwe kuwa timu hiyo itamkosa Mohamed Salah ambaye ni moja ya wachezaji tegemezi kabisa kwenye timu hiyo ambaye ameumia na amerejea Liverpool kambini kwaajili ya matibabu. Verde wamesinda mechi zao zote mbili huku Misri wakiwa wametoa sare mechi zote. Leo nani ni nani?. Jisaji hapa na ubeti.
Kipute kingine ni cha Mozambique dhidi ya Ghana huku timu zote zikiwa hazijashinda mechi yoyote hadi sasa kwenye michezo yao miwili ambayo wamecheza. Mechi hii imepewa ODDS 1.67 kwa Ghana na 5.68 kwa Mozambique. Je Mohamed Kudus kuibeba tena timu yake kama alivyofanya mechi iliyopita?. Bashiri hapa .