HII HAPA BAJETI YA SIMBA KWA MWAKA 2023/2024

“Matumizi ya 2022/23 yalipangwa kuwa Tsh. 12,363,626,983 lakini matumizi halisi ni Tsh. 15,936,829,943. Bajeti kwa mwaka 2023/2024 klabu imepanga kukusanya kiasi cha Tsh. 25,930,722,300 lakini imepanga kutumia kiasi cha Tsh. 25,423,997,354. Tutabaki na mapato ya ziada ya Tsh. 506,724,946.”- Mhasibu wa Klabu, Suleiman Kahumbu