HIVI HAPA VYUMA VIPYA SIMBA NA YANGA

YANGA na Simba kwenye dirisha dogo la usajili zimeongeza wachezaji wapya na wengine wakikutana na Thank You ili wakapate changamoto mpya katika nyingine. Ipo wazi kuwa miongoni mwa wachezaji waliosajiliwa Simba ni pamoja na washambuliaji na viungo kama ilivyo kwa Yanga ambao nao pia wameongeza viungo na mshambuliaji.