
WANAANZA MAISHA MAPYA SEHEMU NYINGINE TENA
USAJILI wa dirisha dogo Januari 15 usiku ulifungwa ambapo timu kadhaa zimetambulisha nyota wao wapya kwa ajili ya kuwa ndani ya changamoto mpya msimu wa 2023/24. Hapa tunakuletea baadhi ya nyota waliotambulishwa ndani ya timu shiriki Ligi Kuu Bara namna hii:- Geita Gold Erick Mwijage kutoka West Armenia. Mtibwa Sugar Jimmyson Mwanuke alikuwa ndani ya…