MWAMBA HUYU NI MNYAMA
MWAMBA Ladack Chasambi ambaye ni kiungo ametambulishwa ndani ya kikosi cha Simba ikiwa ni ingizo jipya. Timu hiyo ya Simba chini ya Abdelhackh Benchika inatarajiwa kucheza mchezo wa hatua ya robo fainali dhidi ya Jamhuri kwenye Kombe la Mapinduzi leo Januari 8 2024. Ikiwa itapoteza kwenye mchezo wa leo itafungashiwa virago na kugotea mwisho kwenye…