Skip to content
MLANDEGE ambao ni mabingwa watetezi wa Mapinduzi 2024 wameendelea kuwa kwenye zali baada ya kutinga hatua ya robo fainali.
Kwa Simba, Yanga, Azam FC na Singida Fountain Gate nazo zmefanikiwa kutinga hatua hiyo ambapo kwa 2023 Simba iliaga mashindano mapema kabisa.
Ratiba ipo namna hii:-
KVZ FC Vs Mlandege FC, Januari 7, saa 10:15 jioni
Yanga SC Vs APR FC, Januari 7, saa 2:15 usiku
Simba SC Vs Jamhuri Jamhuri SC, Januari 8, saa 2:15 usiku