HUYU HAPA KOCHA MPYA YANGA
Taibi Lagrouni ametambulishwa kuwa kocha wa mazoezi ya viungo ndani ya kikosi cha Yanga ambacho kimeanza maandalizi kuelekea msimu mpya wa 2023/24. Ni AVIC Kigamboni illipo kambi ya timu hiyo ya Yanga inayonolewa na Miguel Gamondi mrithi wa mikoba ya Nasreddine Nabi raia wa Tunisia. Yanga ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara baada ya…