MSHAMBULIAJI WA SIMBA SUALA LA MUDA KUTANGAZWA
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Simba Charles Ilanfya anatajwa kufikia makubaliano mazuri na Ihefu muda wowote atasaini mkataba mpya na kutangazwa. Ihefu ya Mbeya ni timu ya kwanza kuifunga Yanga kwenye ligi kwa msimu wa 2022/23. Ikumbukwe kwamba wakati rekodi ya Ihefu kuifunga Yanga inaandikwa timu ya Yanga ilikuwa imecheza mechi 49 za ushindani kwenye ligi…