MTIBWA SUGAR MAMBO BADO MAGUMU

MTIBWA Sugar ikiwa Uwanja wa Manungu imeshuhudia Oktoba 19,2023 ubao ukisoma Mtibwa Sugar 0-2 Kagera Sugar kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara ambao ni Sugar Dabi. Mambo ni magumu kwa timu hiyo kutokana na mwendo wake kuwa ni wa kusuasua msimu mpya wa 2023/24 kwenye mechi za mwanzo. Mabao ya Kagera Sugar yamefungwa kwa awamu…

Read More

MWAMBA ONANA KWENYE MTEGO NDANI YA SIMBA

WILLY Onana nyota wa Simba yupo kwenye mtego ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira kwa kutakuwa kutumia nafasi zinazopatikana kwenye mchezo. Simba inatarajiwa kucheza mchezo wa African Football League leo Ijumaa dhidi ya Al Ahly, Uwanja wa Mkapa huku Onana akiwa ni miongoni mwa nyota waliopo kwenye mpango kazi wa kocha…

Read More

CHEZA AVIATOR KWA WINGI UPATE BETI ZA BURE MWEZI HUU

Kama ilivyo kawaida, Meridianbet inaendelea kuwavutia wateja wao ambapo safari hii wamekuja na promosheni kabambe kutoka kwenye mchezo wao wa kasino maarufu kama Aviator ambao ulianza toka tarehe 12 na uanendelea hadi mwisho wa mwezi. Promosheni hiyo imekuja na kwa lengo la kutoa beti za bure kwa wale wateja wao ambao wanacheza mchezo huo wa…

Read More

HAALAND NI MVUNJAVUNJA REKODI KIMATAIFA

Premier League ndio ligi yenye ushindani mkubwa duniani. Ubora wa ulinzi, ushambuliaji na karibu kila nyanja ya soka iko katika kiwango cha juu zaidi. Baadhi ya wachezaji hufanikiwa kuvuka viwango hivyo na kujikuta wakihusika katika mabao mengi (mabao&asisti). Leo tunaangalia wachezaji 10 bora wa Premier waliotoa mchango wa mabao mengi zaidi mwaka 2023. Takwimu hazihusishi…

Read More

YANGA YAIPIGIA HESABU HIZI AZAM FC

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga hesabu kubwa kwa sasa ni kuelekea mchezo wao wa ligi dhidi ya Azam FC unaotarajiwa kuchezwa Oktoba 23, Uwanja wa Azam Complex. Chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi timu hiyo ilitoka kukomba pointi tatu dhidi ya Geita Gold kwa kushuhudia ubao wa Uwanja wa CCM Kirumba ukisoma Geita…

Read More

NYOTA WA AZAM FC WASUKWA KUIKABILI YANGA

ZIMEBAKI siku tatu kabla ya Mzizima Dabi kupigwa ndani ya Uwanja wa Azam Complex, mastaa wa Azam FC ikiwa ni pamoja na Prince Dube, James Akamiko, Idd Suleiman, (Nado) wanapewa mbinu kuikabili Yanga. Mastaa hao wapo chini ya Kocha Mkuu, Yusuph Dabo aliyetoka kukiongoza kikosi kusepa na pointi tatu ugenini dhidi ya Coastal Union, kwenye…

Read More

HIZI HAPA TIMU ZENYE WASTANI MZURI WA KUFUNGA BONGO

BADO haijafahamika nani atasepa na taji la ligi kutokana na mwanzo kuwa mgumu, ushindani ukipamba moto kila idara kuanzia ile ya ushambuliaji mpaka ulinzi. Ikiwa ni mwanzo wa ligi kuna timu ambazo zina kasi kwenye utupiaji wa mabao zikiwa na wastani unaovutia kila zinaposhuka uwanjani. Nyingine bado zinajitafuta kufikia ile kasi waipendayo. Hapa tunakuletea timu…

Read More

MAJEMBE YA GAMONDI YANGA HAYA HAPA

MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga katika kikosi chake ana majembe mawili ya kazi yanayompa kiburi cha kuwa imara kwenye upande wa ulinzi kutokana na kuwapa nafasi mara kwa mara. Katika Ligi Kuu Bara, Yanga kwenye mechi tano ilizocheza ilitunguliwa mabao mawili pekee ubao wa Uwanja wa Highland Estate ulisoma Ihefu 2-1 Yanga, bao la…

Read More

MASHINE ZA KUWAMALIZA WAARABU ZATAJWA NA SIMBA

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa uwepo wa wachezaji wanaofanya vizuri kwenye kikosi hicho eneo la uwanja wa mazoezi ni nguvu kubwa kuelekea mchezo wao dhidi ya Al Ahly unaotarajiwa kuchezwa Oktoba 20. Kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira kinaendelea na mazoezi kuelekea mchezo wa African Football League  utakaochezwa Uwanja wa Mkapa….

Read More

VIDEO: MENEJA WA IDARA YA SIMBA AKIBANDIKA STIKA ZA AFL

KUELEKEA mchezo wa African Football League kati ya Simba v Al Ahly ya Misri, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba Ahmed Ally ameendeleza kampeni ya kubandika stika kwenye magari ikiwa ni hamasa kuelekea mchezo huo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Oktoba 20,2023. Huo ni mchezo wa ufunguzi ambao utachezwa ndani ya ardhi ya…

Read More

MILIONI 10 ZA MAMA KUIBUKIA AFL

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa zawadi ya Tsh. 10 milioni kwa kila bao ambalo litafungwa na Simba. Huo ni mchezo wa African Football League ambao unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Oktoba 20,2023. Samia ameahidi kuwa kwa bao moja ambalo litafungwa katika mchezo wa African Football League dhidi ya…

Read More

DAKIKA ZA MOTO KWA MBRAZIL WA SINGINDA FOUNTAIN GATE

KOCHA mpya wa Singida Fountain Gate, Ricardo Ferreira kutoka Brazil ana kete nne ngumu kusaka pointi 12 kwenye mechi zake za mwanzo ndani ya timu hiyo. Ikumbukwe kwamba kocha huyo anakuja kuchukua mikoba ya Ernst Middendorp aliyekiongoza kikosi hicho kwenye mchezo mmoja dhidi ya Future uliochezwa Uwanja wa Azam Complex, Septemba 18. Katika mechi hizo nne…

Read More

UNJANJA WA NYOTA WA YANGA UPO HAPA

MAXI Nzengeli nyota wa Yanga mwenye spidi na uwezo wa kutoa pasi ndefu na fupi akiwa ndani ya uwanja ujanja wake wa kufunga mabao upo akiwa ndani ya 18.  Nyota huyo kacheza mechi tano za ligi akiyeyusha jumla ya dakika 309, katoa pasi moja ya bao na kujaza kimiani mabao matatu msimu wa 2023/24. Kwenye…

Read More

MAMILIONI KIGANJANI MWAKO NA BINGO YA PARIMATCH

KAMPUNI ya michezo ya kubahatisha Parimatch imeamua kuwapa fursa mpya wateja wake kwa kucheza Casino kiganjani ambayo imesheheni zaidi ya michezo 200 mikali ndani yake ikiwemo BINGO ambayo imeshika kasi kwa kupendwa na watu wengi. Hayo yamebainishwa na Ofisa Habari wa Parimatch Tanzania, Ismael Mohamed jijini amesema kwamba kupitia tovuti yao ya Parimatch wataweza kufurahia…

Read More

HAPA NDIPO ULIPO UJANJA WA MAXI BONGO

MAXI Nzengeli nyota wa Yanga mwenye spidi na uwezo wa kutoa pasi ndefu na fupi akiwa ndani ya uwanja ujanja wake wa kufunga mabao upo akiwa ndani ya 18. Nyota huyo kacheza mechi tano za ligi akiyeyusha jumla ya dakika 309, katoa pasi moja ya bao na kujaza kimiani mabao matatu msimu wa 2023/24. Kwenye…

Read More