PAN AFICAN KAZINI KWA MARA NYINGINE TENA

KIVUMBI cha Championship kinatarajiwa kuendelea kwa wakongwe kazini Pan African watakapowakaribisha FGA Talents. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Uhuru, Oktoba 28 kwenye msako wa pointi tatu muhimu. Nyasi za Uwanja wa Uhuru zitakuwa kwenye kazi saa 10:00 jioni kwa wanaume hao 22 uwanjani kusaka ushindi kwa jasho. Mchezo wao uliopita ilikuwa ni Oktoba 21…

Read More

YANGA: TULETEENI HAO AL AHLY TUWAONESHE

UONGOZI wa Yanga, umesema kuwa, umetumia mchezo wa Simba kuwasoma wapinzani wao, Al Ahly ambao watakutana katika michezo ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu. Yanga na Al Ahly wapo Kundi D katika Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu sambamba na timu za CR Beluoizdad ya Algeria na Madeama kutoka Ghana. Katika michezo miwili ambayo…

Read More

BEKI WA KAZI AREJEA YANGA

HABARI njema kwa mashabiki wa Yanga, kuwa beki wa kazi wa timu hiyo raia wa Ivory Coast, Yao Kouassi Attohoula, amepona majeraha na yupo tayari kwa mchezo ujao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Singida Fountain Gate utakaochezwa kesho Ijumaa. Mbali na Yao, pia kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Farid Mussa, naye amerejea kikosini baada…

Read More

UKUTA WA SIMBA PASUA KICHWA

KATIKA mechi tano mfululizo walizocheza Simba hawajaambulia clean sheet, (kucheza bila kuruhusu bao) zaidi ya kutunguliwa mabao sita. Makosa yapo katika eneo la kiungo anapocheza Mzamiru Yassin, Fabricne Ngoma, beki anapocheza Henock Inonga, Che Malone, mlinda mlango Ally Salim, Ayoub Lakred. Ni Ally Salim kosa lake kubwa ni katika kupangua mipira langoni mwake mingi inaishia…

Read More

AZAM FC KUMEKUCHA WAANZA NA HILI

BAADA ya kuambulia kichapo kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga, matajiri wa Dar Azam FC wameanza maandalizi. Ni Mzizima Dabi ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Yanga 3-2 Azam FC ambapo Aziz Ki aliandika rekodi ya kufunga hat trick katika mchezo huo. Mabao ya Azam FC inayonolewa na Yusuph Dabo yalifungwa na…

Read More

JOB MTU WA KAZIKAZI YANGA

DICKSON Job beki bora wa msimu wa 2022/23 bado anaonyesha thamani yake uwanjani kuwa ni chuma cha kazi kutokana na kuwa ni chaguo la kwanza la Miguel Gamondi. Job anayekipiga ndani ya kikosi cha Yanga ni shuhuda timu hiyo ikikomba pointi tatu mazima dhidi ya Azam FC kwenye Mzizima Dabi kwa mabao ya Aziz KI…

Read More

DODOMA JIJI KUMEKUCHA, MASHUJAA YAWAKUTA

WAKIWA Uwanja wa Jamhuri, Dodoma walikuwa mashuhuda wakibaki na pointi tatu mazima baada ya dakika 90. Ubao ulisoma Dodoma Jiji 1-0 Kagera Sugar iliyokuwa inazisaka pointi tatu pia. Bao la ushindi ni mali ya Cristian Nzigah aliyepachika bao hilo dakika ya 40 lilidumu mpaka mwisho wa mchezo huo. Ikumbukwe kwamba Kagera Sugar ilitoka kukomba pointi…

Read More

KAGERA YAIPIGIA HESABU KALI DODOMA JIJI

UONGOZI wa Kagera Sugar umeweka wazi kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi kuu Bara unatarajiwa kupigwa  Oktoba 25, kwenye Dimba la Jamhuri mjini Dodoma. Ofisa Habari wa Kagera Sugar, Hamisi Mazanzala aliliambia Championi  Jumatano kuwa, maandalizi yapo sawa kwa ajili ya mchezo huo. “Maandalizi yapo sawa na wachezaji wapo tayari kupambana…

Read More

SIMBA NDANI YA DAR WAKITOKA KUPAMBANA NA WAARABU

MSAFARA wa Simba uliokuwa na jumla ya wachezaji 24 umewasili salama Dar ukitokea Misri ulipokuwa kwa ajili ya mchezo wa African Football League. Ni mapambano ya dakika 90 dhidi ya Waarabu wa Misri ilikuwa kwenye mchezo wa kuamua nani atakayetinga hatua ya nusu fainali kimataifa. Oktoba 24, ubao ulisoma Al Ahly 1-1 Simba. Kwenye hatua…

Read More