>

MAJEMBE HAYA YA KAZI OUT SIMBA

VIUNGO wawili wa kazi ndani ya kikosi cha Simba watakuwa mashuhuda Uwanja wa Mkapa Simba ikisaka matokeo kwenye mchezo dhidi ya Wydad ambao ni wa Ligi ya Mabingwa Afrika, hatua ya makundi. Ni Sadio Kanoute kiungo mgumu aliyepata kadi tatu kwenye mechi tatu mfululizo alianza mchezo dhidi ya ASEC Mimosas Uwanja wa Mkapa ngoma ikawa…

Read More

KIUNGO WA KAZI YANGA AJA NA LINGINE

MAXI Nzengeli kiungo mshambuliaji wa Yanga ameweka wazi kuwa yeye sio mtu wa manenomaneno mengi bali atafanya kazi kwa vitendo. Kiungo huyo ndani ya Ligi Kuu Bara ni namba mbili kwa utupiaji ndani ya kikosi cha Yanga akiwa katupia mabao 7 kinara ni Aziz KI mwenye mabao 9 kibindoni. Desemba 20 Yanga inatarajiwa kuwa na…

Read More

MABINGWA WA AFRIKA, AL AHLY WAMESUKUMIZWA NJE YA MICHUANO YA KLABU BINGWA DUNIA KUFUATIA KIPIGO CHA 2-0

Mabingwa wa Afrika, Al Ahly wamesukumizwa nje ya michuano ya klabu Bingwa Dunia kufuatia kipigo cha 2-0 dhidi ya Mabingwa wa Amerika ya Kusini)CONMEBOL), Fluminense. FT : Fluminense 🇧🇷 2-0 🇪🇬 Al Ahly SC ⚽️ Jhon Arias 70’ ⚽️ John Kennedy 90’ Beki wa zamani wa Real Madrid, Marcelo alikuwa sehemu ya kikosi cha vigogo…

Read More

MTIBWA SUGAR HAWANA BAHATI AZAM COMPLEX

KUTOKA Morogoro, Klabu ya Mtibwa Sugar haina bahati na Uwanja wa Azam Complex kwa msimu wa 2023/24 kutokana na kukwama kukomba pointi ndani ya dakika 180. Mtibwa Sugar inayonolewa na Kocha Mkuu, Zuber Katwila ni mechi mbili tofauti ilicheza ikiwa ugeni  ilikuwa ni Novemba 24, 2023 ubao uliposoma Azam FC 5-0 Mtibwa Sugar. Dakika 180…

Read More

CHAMA ASABABISHA MAJANGA KWA WAARABU

KIUNGO wa Simba, Clatous Chama amesababisha majanga kwa Waarabu wa Morocco Wydad Casablanca kwa kuwa chanzo cha nyota wao kuukosa mchezo wa marudiano Dar. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Desemba 19 saa 10:00 jioni. Simba iliyo kundi B mwendo haijawa kwenye mwendo bora kutokana na kushindwa kupata ushindi katika mechi tatu za hatua…

Read More

MAKIPA WA KIGENI BAADAYE WATAKUWA TATIZO KWETU

MOJA ya timu za taifa zilizofanya vizuri sana kimataifa ni Misri na rekodi zao zimekuwa nzuri huku wakiendelea kuwatumia wachezaji wa nyumbani zaidi. Misri wamekuwa na wachezaji wengi wa nyumbani ambao wamekuwa wakiiwakilisha timu yao ya taifa vizuri. Bila ya ubishi ni kwamba hapa kuna uwekezaji mzuri zaidi au wa kipindi kirefu ambao umewafanya Misri…

Read More

Shaktar Donetsk Yahofia Kumpoteza Mtanzania Yamuweka Benchi

Ni miezi miwili sasa tangu Shaktar Donetsk ya Ukraine kufanya mabadiliko kwenye benchi lao la ufundi kwa kumfukuza mwalimu Patrick Van Leeuwen na mikoba yake kupewa Marino Pusic (52) kukinoa kikosi hicho mpaka mwaka 2025-2026.   Tangu kufanyika kwa mabadiliko ya benchi la ufundi kijana wa Kitanzania ambaye alifanya vizuri sana kwenye michezo kadhaa aliyopewa…

Read More

KIMATAIFA KAZI KUBWA IFANYIKE KUSAKA MATOKEO

MECHI ambazo zimebaki kwa wawakilishi wa kimataifa zote ni muhimu kushinda kufufua matumaini ya kutinga hatua ya makundi licha ya ugumu uliopo. Kikubwa kwenye mechi za hatua ya makundi ni kuhakisha kwamba hakuna ambaye ataleta utani kwenye mechi ambazo zitachezwa Uwanja wa Mkapa. Ni mechi mbili ambazo zinamaana kubwa kwa wawakilishi wa Tanzania kwenye anga…

Read More

NGUVU YA AZAM FC YAGEUZWA HUKU

UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa baada ya kupata matokeo kwenye mechi zao za ligi sasa wanageukia kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC). Azam FC mchezo wake uliopita wa ligi ilishinda kwa mabao 2-1 JKT Tanzania inakibarua  na Alliance ya Mwanza, kwenye raundi ya pili ya michuano hiyo. Mchezo huo unachezwa…

Read More

YANGA WAIVUTIA KASI MEDEAMA CAF

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kwa sasa hesabu zao ni kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Medeama ya Ghana. Huo ni mchezo wa kusaka tiketi ya kutinga hatua ya robo fainali wakiwa wamecheza mechi tatu na kukusanya pointi mbili kibindoni. Desemba 20 Yanga wanatarajiwa kucheza mchezo wa Ligi ya Mabingwa baada…

Read More

HIVI NDIVYO NAMNA SIMBA ITAKAVYOTUSUA CAF

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa njia pekee itakayowapeleka katika hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika ni kushinda mechi zote za nyumbani kurejesha hali ya kujiamini zaidi. Ipo wazi kuwa baada ya kucheza mechi tatu hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika ambazo ni dakika 270, Simba haijaambulia ushindi ndani ya uwanja. Ilipoteza…

Read More

MWENDO WA YANGA NA SIMBA CAF MAMBO MAGUMU

MWENDO wa wawakilishi wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga na Simba haujawa kwenye ubora kutokana na kushindwa kupata matokeo chanya ndani ya uwanja. Kuna watembeza mikato ya kimyakimya ambapo wachezaji wa timu hizo walionyeshwa kadi za njano. Kuna kazi kubwa inapaswa kufanywa na wawakilishi wa Tanzania kimataifa.

Read More