YANGA YAWATULIZA MEDEAMA KWA MKAPA NA KUKOMBA POINTI
YANGA wameonyesha ubabe wao mbele ya Medeama katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliochezwa Uwanja wa Mkapa wakiwatuliza wapinzani wao hao na kukomba pointi tatu mazima. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Yanga 3-0 Medeama FC ikiwa ni mchezo wa nne Kwa Yanga. Mabao ya Pacome Zouzoua dakika ya 33,…