SIMBA YAWATULIZA WAARABU KWA MKAPA
MCHEZO wa nne kwa Simba katika hatua ya Ligi ya Mabingwa Afrika wanavuna pointi tatu ubao wa Uwanja wa Mkapa uliposoma Simba 2-0 Wydad Casablanca. Katika mchezo wa leo Desemba 19 mabao yote ya Simba yalifungwa kipindi cha kwanza cha mchezo ndani ya dakika 45 na kuvuna pointi tatu wakiwa nyumbani. Ni Willy Onana alipachika…