MTIBWA SUGAR HAWANA BAHATI AZAM COMPLEX
KUTOKA Morogoro, Klabu ya Mtibwa Sugar haina bahati na Uwanja wa Azam Complex kwa msimu wa 2023/24 kutokana na kukwama kukomba pointi ndani ya dakika 180. Mtibwa Sugar inayonolewa na Kocha Mkuu, Zuber Katwila ni mechi mbili tofauti ilicheza ikiwa ugeni ilikuwa ni Novemba 24, 2023 ubao uliposoma Azam FC 5-0 Mtibwa Sugar. Dakika 180…