MADEREVA BAJAJI WANEEMESHWA NA MERIDIANBET
Kumekua kukitolewa misaada mbalimbali katika maeneo tofauti tofauti lakini leo hii Meridianbet wameamua kwenda kutoa msaada kwa madereva Bajaji wa maturubai ambayo yatawawezesha kufanya shughuli zao za kila siku vizuri. Utamaduni wa kuhakikisha wanarudisha kwa jamii yao inayowazunguka umedumu kwa miaka na miaka na leo walioneemeka ni madereva Bajaji katika maeneo mbalimbali ya jiji la…