>

USIPOSHINDA LEO NA MECHI ZA EUROPA UTASHINDA LINI?

Meridianbet inasema hivi, kama usiposhinda leo hii unataka ukashinde tena lini na wapi kama sio hapa?. Tengeneza jamvi lako leo Bayer Leverkusen, Brighton, Ajax, Real Betis na wengine wanataka kukupa pesa. Muda ndio huu ingia na ubashiri na mabingwa meridianbet.

Ushindi unaanzia hapa kwa vijana wa Jose Mourinho AS Roma ambao watakuwa wakiumana dhidi ya FC Sheriff huku Waitaliano hao wanatafuta ushindi leo hii ili wamalize kundi kama vinara. Huku mpinzani wake akiwa na alama moja pekee. Je Roma wanaweza maliza kundi kileleni? Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Jisajili na ubeti.

Wakati kwa upande wa Real Betis wao watawaleta nyumbani Rangers katika dimba la Benito Villamarin wakitofautiana pointi 1 pekee. Mara ya mwisho kukutana, Rangers ya Scotland waliibuka na ubabe. Mechi hii imepewa ODDS 1.78 kwa 4.21. Nani ni nani leo?

Usiishie kubashiri Europa tuu, cheza pia michezo ya Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inayotolewa hapa kama vile Aviator, mchezo pendwa kwasasa na ni rahisi sana, Poker, Keno Roullette na mingine kibao ya Sloti. Ingia mchezoni na ucheze sasa upate Bonasi za Kasino.

Na katika dimba la BayArena Bayer Leverkusen ambao wananolewa na Xabi Alonso watamkaribisha Molde huku mechi ya kwanza walipoonana Leverkusen alishinda. Mechi hii imepewa ODDS 1.32 kwa mwenyeji na 7.64 kwa mgeni. Pesa yako unaiweka wapi hapo?

Ukiachana na mechi ya huyo Mjerumani, mechi nyingine ya pesa ni kati ya Union Saint-Gilloise dhidi ya Liverpool ya Klopp. Jogoo ana ODDS 2.84 kwa 2.27 huku tofauti ya ponti kati yao ikiwa ni 9. Liver atamaliza kundi kwa kupoteza? Bashiri mechi hii Meridianbet.

Mechi ya Slavia Prague dhidi ya Servette Geneva nayo inataka kukupatia maokoto ya maana huku mgeni akiwa hawajashinda mechi yoyote hadi sasa. Mechi hii imepewa ODDS 1.34 kwa 8.42, Je mwenyeji atamaliza akiwa kinara au vijana wa Mourinho watawashinda. Bashiri mechi hii.

Balaa nyingine ipo katika Kundi A, Westham United watakuwa nyumbani kukiwasha dhidi ya Freiburg ya Ujerumani huku timu hizo zikiwa zimefungana pointi yani wote wana 12. 1.81 ndio ODDS ya Wagonga Nyundo wa London huku 3.92 ya mgeni. Nani kupaa kileleni. Suka mkeka wako chapu.

Timu kutoka Ufaransa Stade Rennes ataumana dhidi ya Villarreal ambao wote wanataka kukaa kileleni ili kupata unafuu mechi ya 16 bora. Mfaransa ana ODDS 2.07 na Mhispania amepewa 3.33. Walipokutana, Nyambizi wa Njano alishinda. Leo mwenyeji atalipa kisasi? Bashiri na Mabingwa hapa.

Brighton & Hove Albion watakuwa nyumbani kukimbiza dhidi ya Olympique Marseille tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 1 pekee na wote wanawania kukaa juu. 1.63 na 4.80 ndio ODDS za mechi hii. Ingia na usuke mkeka hapa.

Huku Ajax Amsterdam wao watawaalika AEK Athens huku timu hizo zikiwa hazina mpango wa kuendelea na michuano ya Europa na sasa wanatafuta nafasi ya kuwania Konferensi league. Mechi hii ina machaguo mengi Meridianbet. Tengeneza jamvi lako la ushindi hapa.