Moto unakwenda kuwaka leo katika ligi ya mabingwa ulaya leo haswa kwenye kundi F ambalo wengi waliamua kuliita kundi la kifo kutokana na ugumu ambao upo kwenye kundi hilo na Meridianbet hawako nyuma kwani wametoa ODDS KUBWA kwenye michezo hiyo.
Kundi F linaundwa na timu kama PSG, Newcastle United, Ac Milan, na Borussia Dortmund ambapo mpaka sasa kwenye kundi hilo klabu ya Borussia Dortmund ndio wamejihakikishia kufuzu hatua ya 16 bora.
Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.
Mchezo ambao utapigwa leo pale Signal Iduna Park kati ya Borussia Dormund dhidi ya PSG utakua ni mchezo muhimu zaidi kwa mabingwa hao watetezi wa Ufaransa, Kwani Dortmund wao wameshafuzu hatua inayofuata ya 16 bora.
Mchezo mwingine ambao utapigwa nchini Uingereza katika dimba la St. James Park kati ya klabu ya Newcastle United ambao watakua nyumbani nao utakwenda kuamua nani aendelee na nani asiendelee kwani wote wana alama 5, Hivo yeyote atakayeshinda huku PSG akipoteza atafuzu hatua inayofuata ya 16 bora.
Michezo hiyo ndio itakua michezo ya mwisho ya hatua ya makundi kwenye ligi ya mabingwa ulaya msimu huu na michezo kadhaa itakua inaamua hatma ya timu kadhaa kwenda hatua inayofuata ya 16 bora, Hivo itakua michezo yenye kuvutia ambayo imepewa ODDS KUBWA pale Meridianbet.
Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee
ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.