YANGA inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamond Desemba 8 ina kibarua cha kusaka ushindi mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Medeama ya Ghana.
Ni Joyce Lomalisa huenda akakosekana baada ya kupata maumivu kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly. Gamondi ameweka wazi kuwa kuna nyota wawili ambao watabeba mikoba yake ambao ni Kibwana Shomari ama Nickson Kibabage.