![YANGA YAVUNA POINTI MOJA UGENINI](https://salehjembe.co.tz/wp-content/uploads/2023/12/Maxi-Medeama.png)
YANGA YAVUNA POINTI MOJA UGENINI
KATIKA mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika wawakilishi wa Tanzania, Yanga wakiwa ugenini wamevuna pointi moja. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Baba Yara Sports umesoma Medeama 1-1 Yanga ambapo mabao yote yamefungwa kipindi cha kwanza katika dakika 45 za mwanzo. Medeama walianza kupata bao kwa mkwaju wa penalti dakika ya 27 kupitia…