MANCHESTER CITY MAMBO SIO MAMBO LIGI KUU YA UINGEREZA

Mambo yanaonekana kuwaendeo kombo mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Uingereza klabu ya Manchester City, Kwani mpaka sasa wamecheza michezo minne ya ligi kuu ya Uingereza hivi karibuni na hawajapata matokeo ya ushindi katika mchezo wowote. Matokeo ya hivi karibuni ya klabu hiyo ambayo imetawala ligi kuu ya Uingereza kwa miaka saba nyuma hayaleti picha…

Read More

KOCHA SIMBA APENYA TATU BORA CAF

KOCHA Mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha amepenya katika orodha ya makocha watatu bora wanaowania tuzo za CAF 2023. Ikumbukwe kuwa kocha huyo ni mrithi wa mikoba ya Roberto Oliveira aliyefutwa kazi kutokana na kupoteza mchezo wa Kariakoo Dabi dhidi ya watani wa jadi Yanga. Oliveira alikuwa shuhuda ubao wa Uwanja wa Mkapa ukisoma Simba 1-5…

Read More

SAFU YA ULINZI INASUKWA UPYWA NA GAMONDI YANGA

MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa watafanyia kazi makosa katika mechi za kimataifa upande wa ulinzi ili kutoruhusu mabao mengi ya kufungwa. Ipo wazi kuwa katika mechi mbili ilizoshuka uwanjani hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, ukuta wa Yanga uliokota mabao manne, ugenini dhidi ya CR Beloizdad ilitunguliwa mabao matatu na…

Read More

THANK YOU KWA MAKOCHA ZIZINGATIE MAKUBALIANO

ILE kauli ya makocha wanaajiriwa ili wafukuzwe isiwe kigezo cha kila timu kumfukuza kocha pale wanapokosa wanachokitarajia kwenye mechi husika. Ipo wazi kuwa kuna mengi ambayo yanamzunguka kocha kwenye mpango kazi wa kusaka matokeo. Inawezekana viongozi wanatambua makosa yalipo wanashindwa kuyatatua kwa wakati. Muda mwingine ni aina ya wachezaji waliopo kushindwa kwenda na kasi iliyopo…

Read More

SIMBA: TUNAANZA NA WYDAD LIGI YA MABINGWA

BAADA ya kukosa ushindi katika michezo miwili ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba imepanga kuanza kupata ushindi dhidi ya Wydad Casablanca ya Morocco. Simba imevuna pointi mbili pekee ikicheza michezo miwili ya Kundi B katika Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu dhidi ya ASEC Mimosas ya Ivory Coast na Jwaneng Galaxy…

Read More

MAN UTD YAITANDIKA CHELSEA OLD TRAFFORD 2-1

Shughuli imemalizika, alama tatu muhimu kwa Mashetani Wekundu katika dimba la Old Trafford. FT: Man United 2-1 Chelsea ⚽⚽ McTominay 19’ 69’ ⚽ Palmer 45’ Manchester United imefikisha alama 27 baada ya mechi 15 ikikwea mpaka nafasi ya sita kwenye msimamo wa Ligi Kuu England. Chelsea inasalia nafasi ya 10 alama 19 baada ya mechi…

Read More