SportsYANGA KUINASA SAINI YA KIUNGO HUYU WA KAZI Saleh1 year ago01 mins INAELEZWA kuwa Klabu ya Yanga ipo kwenye hesabu za kuinasa saini ya kiungo wa Tanzania Prisons, Edwin Balua kwa ajili ya kuwa naye kwenye kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi. Post navigation Previous: SIMBA KAZI IPO, KUWAVAA WAARABU WENYE NJAANext: OMARY CHANDE AMEKOMBA SHILINGI10,491,465