
MANCHESTER CITY DHIDI YA TOTTENHAM MZIGO WAKUTOSHA PALE MERIDIANBET
Mchezo wa kukata na shoka utapigwa pale katika dimba la Etihad lakini ukiwa umebeba mzigo wa kutosha kwa wateja wa Meridianbet, Kwani mchezo unaweza kutoa fursa kwa wateja wa Meridian kushinda mkwanja wa kutosha kupitia mbungi hii ya kibabe Manchester City wanashuka dimbani katika mchezo huu wakiwa na kumbukumbu ya kupoteza mchezo wao wa mwisho…