KUELEKEA mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika Desemba 2 2023 Yanga dhidi ya Al Ahly amewataka wachezaji wake wote kuwa watulivu na makini kwenye kutumia nafasi ambazo zitapatikana.
Yanga inakibarua cha kusaka ushindi huo kwenye mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Ikumbukwe kwamba Al Ahly ni mabingwa watetezi.