
AZAM FC YAFUNGA NOVEMBA KIBABE
MATAJIRI wa Dar, Azam FC wamefunga Novemba kibabe kwa kukomba pointi zote tisa walizokuwa wanazisaka katika mechi tatu za Ligi Kuu Bara. Kwenye mechi hizo tatu Azam FC mbili ilicheza ugenini ilikuwa Mashujaa 0-3 Azam FC Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma, Ihefu 1-3 Azam FC Uwanja wa Highland Estate. Kigongo cha kukamilisha hesabu ya tatu…