Kombe la UEFA Europa League ni zito kuliko makombe yote ya UEFA yenye madini fedha licha ya kutokuwa na thamani kubwa sana, tofauti na vikombe vingine vinavyotolewa katika mashindano ya klabu barani Ulaya. Wiki hii kuna odds kubwa za mechi kubwa za Europa kama vile Atalanta vs Sporting Lisbon nk.
Kombe hilo hukabidhiwa kwa timu zenye ujasiri na nguvu zinazoshinda fainali ya kila mwaka; Kombe hilo lina uzito wa kilogramu 15. Urefu wa sentimeta 65, upana wa sentimeta 33, na kina cha sentimeta 23. Kitu pekee kwa sasa chenye thamani kama kombe hili ni pesa yako kubetia Meridianbet unakuwa na uhakika wa kupoka malipo muda wowote huku unacheza kasino mtandaoni.
Kombe la UEFA Europa League lilibuniwa na kutengenezwa na karakana ya Bertoni huko Milan, kwenye kombe hilo kuna kundi la wachezaji linaonekana kusukumana kwa mpira, ukweli ni kwamba wanaunga mkono ‘kikombe’ cha pembetatu ambacho kimepambwa na nembo ya UEFA.
Meridianbet wakali wa odds kubwa na kasino mtandaoni wana pesa zako kwenye mechi hizi, Atalanta, Sporting Lisbon, Brighton, West Ham, AS Roma, Liverpool nk
Kombe hilo wakati wote linakuwa mikononi mwa UEFA, na nakala ya kombe hilo hupewa klabu inayoshinda. Klabu yoyote inayoshinda tuzo hiyo mara tatu mfululizo au mara tano jumla hupokea alama maalum ya kuitambua klabu hiyo kisha kuanza mzunguko mpya kutoka sifuri. Hii ilitokea msimu wa 2015/16 wakati Sevilla ilikutana na vigezo vyote viwili, kushinda taji la tatu mfululizo na la tano kwa jumla.
Unyama ni pale unapobashiri na Meridianbet kila mechi zina odds kubwa, lakini pia kuna michezo ya sloti na kasino mtandaoni.
Zawadi kwa kila Hatua.
Kufuzu hatua ya makundi: €3,630,000/= / $3,810,701/=
Ushindi wa mchezo katika hatua ya makundi: €630,000 / $661,361/=
Sare katika hatua ya makundi: €210,000 / $220,453/=
Katika hatua ya makundi: €1,100,000 / $1,154,758/=
Katika hatua ya makundi: €550,000 / $577,379/=
Raundi ya mchujo – play-offs: €500,000 / $524,890 /=
16 Bora: €1,200,000 / $1,259,736/=
Robo fainali: €1,800,000 / $1,889,604/=
Nusu fainali: €2,800,000 / $2,939,384/=
Mshindi wa pili: €4,600,000 $4,828,988/=
Bingwa: €8,600,000 / $9,028,108/=
NB: KWA 500 TU UNAPATA BAJAJI MPYAA UKIBETI NA KITOCHI MERIDIANBET MWEZI HUU WA NOVEMBA, PROMOSHENI HII YA BAJAJI MIA5 INAISHA MWISHO WA MWEZI HUU, KUWA MMOJA KATI YA WASHINDI WA BAJAJI NA ZAWADI KIBAO KWENYE PROMOSHENI HII KWA KUBASHIRI NA MERIDIANBET PEKEE.