>

KOCHA MPYA SIMBA MALENGO YAKE HAYA HAPA, SALAMU KWA YANGA

KOCHA mpya wa Simba Benchikha amesema kuwa ni muhimu kufanya kazi kwa ushirikiano kufikia malengo ya timu hiyo huku akiweka wazi kuwa furaha yake kuwa katika timu hiyo ambayo ni kubwa Afrika. Kocha huyo ameweka wazi kuwa wanahitaji kufanya vizuri kufikia malengo ikiwa ni kutwaa ubingwa wa ligi ulio mikononi mwa Yanga.