SportsKIUNGO WA KAZI YANGA AAHIDI KUWAFUNGA WAARABU Saleh1 year ago01 mins KIUNGO wa kazi ndani ya kikosi cha Yanga, Pacome ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa ajili ya kupata ushindi kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Desemba 3 2023 Post navigation Previous: SIMBA NI MWENDO WA FULL PACKAGENext: GAMONDI: AL AHLY WAGUMU LAKINI TUNAKUFA NAO, BENCHIKHA ATAJA NONDO 3