SIMBA AKILI KWA ASEC MIMOSAS ZIPO HIVI

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa malengo makubwa ni kupata ushindi kwenye mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya ASEC Mimosas. Timu hiyo inatarajiwa kusaka ushindi kwenye mchezo huo wa hatua ya makundi Uwanja wa Mkapa Novemba 25 ikiwa ni mchezo wa hatua ya makundi. Mchezo huo unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kwa kuwa…

Read More

TAIFA STARS KUPOTEZA DHIDI YA MOROCCO UBORA UMEAMUA

MCHEZO uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Novemba 21 2023 umeacha maumivu kwa mashabiki kwa kushuhudia timu pendwa ikipoteza. Baada ya dakika 90 ubao umesoma Tanzania 0-2 Morocco huku nyota Dismas akiingia kwenye orodha ya wachezaji walioonyeshwa kadi nyekundu baada ya kuonyeshwa kadi mbili za njano. Ni mabao ya Hakim Ziyechi dakika ya 28 na Lusajo Mwaikenda…

Read More

YANGA KAZI KAZI KUWAKABILI WAARABU

MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa mpango kazi mkubwa kwenye mechi yao dhidi ya Waarabu wa Algeria, CR Belouizdad. Timu hiyo inakibarua cha kuanza kusaka ushindi kwenye mchezo wa hatua ya makundi Novemba 24 kisha wakimaliza kazi hiyo watarejea Dar kumenyana na Al Ahly Desemba 2.  Gamondi amesema kuwa kila mchezo ni…

Read More