>

FELIX MINZIRO APEWA MKONO WA ASANTE

RASMI Tanzania Prisons imeachana na aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo, Freddy Felix Kataraiya Minziro kufuatia matokeo yasiyoridhisha na sasa Maafande hao watabaki chini ya msaidizi, Shaban Mtupa. Minziro alijiunga na Wajelajela hao mapema msimu huu ambapo ameiongoza mechi tisa za mashindano ya Ligi Kuu akishinda mechi moja, sare nne na kupoteza minne na kuwa…

Read More

HONGERENI STARS, KAZI BADO HAIJAGOTA MWISHO

TUMEONA namna ambavyo wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars walivyokamilisha majukumu yao kwa kupata ushindi. Haikuwa kazi rahisi kushinda mchezo dhidi ya Niger ugenini hivyo wanastahili pongezi. Kuanzia benchi la ufundi, wachezaji na mashabiki pongezi zinawastahili kwa kuwa wamefanya kazi kubwa. Furaha ambayo wameipata wachezaji inapaswa kuwa endelevu. Furaha ambayo wameipata mashabiki…

Read More

MASTAA AZAM FC WAONGEZEWA MAUJANJA

YUSUPH Dabo, Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa ni muhimu kwa wachezaji wake kuongeza umakini wakiwa kwenye mechi za ushindani ili kupata matokeo mazuri. Timu hiyo kwenye mechi mbili za ugenini ilikomba pointi zote sita kwa sasa ipo Dar kwa maandalizi ya mchezo wake ujao wa ligi dhidi ya Mtibwa Sugar. Ni pointi 19…

Read More

SIMBA YATAMBIA HIKI KUWAKABILI ASEC

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa utawaonyesha nguvu ya mashabiki wapinzani wao ASEC Mimosas kwa vitendo kwa kujitokeza kwa wingi kwenye mchezo huo. Novemba 25 Simba inatarajiwa kucheza mchezo wa kimataifa wa Ligi ya Mabingwa Uwanja wa Mkapa wakiwa na tuzo ya mashabiki bora wa African Fotball League.  Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano…

Read More