SIMBA, YANGA ZAKUTANA NA RUNGU LA TFF, ZAKAMULIWA MINOTI
KAMATI ya uendeshaji na usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania katika kikao chake cha Novemba 14 imetoa maamuzi mbalimbali kutokana na mwenendo na matukio ndani ya ligi. Katika adhabu hizo ni pamoja na faini ya milioni tano kwa Klabu ya Yanga kwa kosa la kuingia uwanjani kwa kupitia mlango usio rasmi Novemba…