UONGOZI wa Yanga umeweka waz kuwa utafanya maboresho kwenye kikosi hicho kwa umakini kuelekea kwenye dirisha dogo linalotarajiwa kufunguliwa Desemba. Moja ya nyota wanaotajwa kuwa kwenye hesabu za kuwa ndani ya Yanga ni pamoja na Chvaviro ambaye yupo kwenye hesabu za kusajiliwa na timu hiyo.