WABUNGE WAPITISHA MICHANGO KUMPA PROFESA JAY, KENANI, MUSUKUMA WASIMAMA – ”TUMCHANGIE LAKI 2”…

Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Musukuma, amewaomba wabunge kumchangia laki mbili kwa aliyekuwa Mbunge wa Mikumi na Msanii wa Hip Hop, Joseph Haule maarufu kama Prof. Jay laki moja kwa matumizi yake binafsi na laki nyingine kusaidia Taasisi yake aliyoianzisha.