HIKI hapa kikosi cha Yanga dhidi ya Coastal Union ya Tanga, Uwanja wa Mkwakwani.
Huu ni mchezo wa ligi ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa ndani ya dakika 90 kwenye mchezo utakaochezwa saa 12:30:-
Aboutwalib Mshery
Yao Attouhula
Kibabage
Bacca
Nondo
Aucho
Maxi
Muda
Musonda
Aziz KI
Zouzoua