BREAKING: MR OBJECTIVE SIMBA AFUNGASHIWA VIRAGO

RASMI Roberto Oliviera aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba amefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na timu hiyo pamoja na kocha wa viungo Corneille Hategekimana.

Timu hiyo itakuwa chini ya Daniel Cadena akishirikiana na Seleman Matola.

Mchezo wa mwisho kukaa benchi kwa kocha huyo ilikuwa ni Novemba 52023 Uwanja wa Mkapa.

Baada ya dakika 90 ubao ulisoma Simba 1-5 Yanga.