YAO BABA LAO KUELEKEA KARIAKOO DABI
MWAMBA Yao Attohoula ni baba lao kuelekea Kariakoo Dabi kwa upande wa kutengeneza pasi za mabao kwenye mechi za Ligi Kuu Bara. Ni Novemba 5 watani hao wa jadi wanatarajiwa kumenyana kwenye msako wa pointi tatu, Uwanja wa Mkapa. Katika nyota wenye pasi nyingi za mabao kwa watani hawa wa jadi, Yao ambaye ni beki…