KIVUMBI TUPU TATU BORA UFUNGAJI

KIVUMBI tupu ndani ya tatu bora ya ufungaji kutokana na mastaa waliopo hapo kuwa na rekodi zao zinazovutia namna wanavyofunga na kukamilisha majukumu yao. Ni Aziz KI wa Yanga huyu ni namba moja kwenye utupiaji akiwa na mabao sita, Jean Baleke yupo zake ndani ya Simba mabao matano na Feisal Salum, (Fei Toto) yupo Azam…

Read More

PAN AFICAN KAZINI KWA MARA NYINGINE TENA

KIVUMBI cha Championship kinatarajiwa kuendelea kwa wakongwe kazini Pan African watakapowakaribisha FGA Talents. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Uhuru, Oktoba 28 kwenye msako wa pointi tatu muhimu. Nyasi za Uwanja wa Uhuru zitakuwa kwenye kazi saa 10:00 jioni kwa wanaume hao 22 uwanjani kusaka ushindi kwa jasho. Mchezo wao uliopita ilikuwa ni Oktoba 21…

Read More

YANGA: TULETEENI HAO AL AHLY TUWAONESHE

UONGOZI wa Yanga, umesema kuwa, umetumia mchezo wa Simba kuwasoma wapinzani wao, Al Ahly ambao watakutana katika michezo ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu. Yanga na Al Ahly wapo Kundi D katika Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu sambamba na timu za CR Beluoizdad ya Algeria na Madeama kutoka Ghana. Katika michezo miwili ambayo…

Read More

BEKI WA KAZI AREJEA YANGA

HABARI njema kwa mashabiki wa Yanga, kuwa beki wa kazi wa timu hiyo raia wa Ivory Coast, Yao Kouassi Attohoula, amepona majeraha na yupo tayari kwa mchezo ujao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Singida Fountain Gate utakaochezwa kesho Ijumaa. Mbali na Yao, pia kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Farid Mussa, naye amerejea kikosini baada…

Read More

UKUTA WA SIMBA PASUA KICHWA

KATIKA mechi tano mfululizo walizocheza Simba hawajaambulia clean sheet, (kucheza bila kuruhusu bao) zaidi ya kutunguliwa mabao sita. Makosa yapo katika eneo la kiungo anapocheza Mzamiru Yassin, Fabricne Ngoma, beki anapocheza Henock Inonga, Che Malone, mlinda mlango Ally Salim, Ayoub Lakred. Ni Ally Salim kosa lake kubwa ni katika kupangua mipira langoni mwake mingi inaishia…

Read More

AZAM FC KUMEKUCHA WAANZA NA HILI

BAADA ya kuambulia kichapo kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga, matajiri wa Dar Azam FC wameanza maandalizi. Ni Mzizima Dabi ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Yanga 3-2 Azam FC ambapo Aziz Ki aliandika rekodi ya kufunga hat trick katika mchezo huo. Mabao ya Azam FC inayonolewa na Yusuph Dabo yalifungwa na…

Read More

JOB MTU WA KAZIKAZI YANGA

DICKSON Job beki bora wa msimu wa 2022/23 bado anaonyesha thamani yake uwanjani kuwa ni chuma cha kazi kutokana na kuwa ni chaguo la kwanza la Miguel Gamondi. Job anayekipiga ndani ya kikosi cha Yanga ni shuhuda timu hiyo ikikomba pointi tatu mazima dhidi ya Azam FC kwenye Mzizima Dabi kwa mabao ya Aziz KI…

Read More