KIUNGO WA KAZI BADO YUPO SANA KWA MATAJIRI WA DAR

KIUNGO wa kazi Yahya Zaid bado yupo sana ndani ya kikosi cha matajiri wa Dar Azam FC bado yupo sana kwenye kikosi hicho. Nyota huyo ameongeza dili la miaka miwili kuendelea kuwa ndani ya kikosi hicho. Mwamba ataendelea kusalia kwenye viunga vya Azam Complex hadi mwaka 2026. Kasi ya Azam FC kwa msimu wa 2023/24…

Read More

SIMBA: TUTADHIHIRISHA UKUBWA WETU MBELE YA YANGA

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa utadhihirisha ukubwa wao kwa kupata ushindi kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Ni Kariakoo Dabi inayotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa ndani ya dakika 90 kwa timu zote kuwania kupata pointi tatu muhimu. Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba, Ahmed Ally…

Read More

MANCHESTER UNITED YA ONANA HAIJAONANA

WIKI ya 10 ndani ya Premier League, Manchester United wamechapwa kwenye Dabi na kupoteza pointi tatu dhidi ya Manchester City. Nyumbani walikuwa Uwanja wa Old Trafford walishuhudia ubao ukisoma Manchester United 0-3 Manchester City. Mwamba Erling Haaland alitupia mabao mawili dakika ya 26 na 49 huku Phil Foden akitupia bao moja usiku dakika ya 80….

Read More

MUHIMU KUWA NA MAANDALIZI BORA KILA WAKATI

MWENDELZO mzuri unahitajika kwa wachezaji wote katika mechi ambazo wanacheza. Hali bado haijawa nzuri kwa baadhi ya wachezaji kufikiria mpira ni matumizi ya nguvu kubwa mwanzo mwisho. Ipo wazi kuwa mpira wa mchezo huwezi kuacha kutumia nguvu lakini ni muhimu kuwa makini. Kwenye msako wa pointi tatu ila ni muhimu kuwa makini katika kutimiza majukumu….

Read More