October 28, 2023
CIRCUS FEVER DELUXE SLOTI YA UTAJIRI
Sloti ya Circus Fever Deluxe Kuna michezo mingi inafurahisha na mingine unapoicheza inakuingizia hela, kwenye miaka ya nyuma Sanaa ya maonyesho majukwaani ilikuwa inafanya vizuri sana, Kasino ya mtandaoni Meridianbet inataka kukurudisha nyuma mpaka miaka ya 2000s kupitia sloti ya Circus Fever Deluxe. Sloti ya Circus Fever Deluxe ina mtindo kama wa mazingaombwe lakini kuna…
FUPA LILILOMSHINDA MTANI, MIKONONI MWA MNYAMA
MBINU za makocha wawili zitakuwa kazini leo kusaka pointi tatu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara, Uwanja wa Mkapa. Ni Roberto Oliveira wa Simba dhidi ya Moses Basena wa Ihefu. Oliveira ameliambia amesema kuwa wanahitaji pointi tatu kama ambavyo Basena mrithi wa mikoba ya Zuber Katwila naye anahitaji kuona wakikomba pointi hizo muhimu. Hapa tunakuletea…
USHINDI MKONONI MWAKO NA KASINO YA MTANDAONI
Sloti ya Forest Rock Itakuaje pale ambapo utaingia kwenye msitu mkubwa na ndani ya huo msitu kuna wanyama wengi wenye tabia tofauti, fikiria unakutana na Sungura mvaa headphone, Simba msanii tena ni staa mkubwa tu, Tembo mpiga ngoma huo msitu utakua ni wa aina gani? Kasino ya mtandaoni ndani ya Meridianbet inakuja na…
WATATU HAWA HAPA KUWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA YANGA
MAJINA ya nyota watatu wa kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi yamepenya kuwania tuzo ya mchezaji bora. Yanga hivi karibuni iliingia ushirikiano na NIC kwa ajili ya kutoa zawadi kwa wachezaji wa timu hiyo watakaofanya vizuri ndani ya mwezi husika. Oktoba 28 vinara hao wa ligi wakiwa na pointi 18 baada ya…
MZUNGUKO WA KWANZA HESABU KUBWA ZINAHITAJIKA
WAKATI wa mavuno kwa timu shiriki Ligi Kuu Bara na Championship ni mzunguko wa kwanza. Hapa timu ambazo zinafanikiwa kuanza kwa hesabu kubwa huwa zinamaliza vizuri. Kikubwa ambacho kinawafanya wamalize vizuri ni ule mwendelezo wa kujiamini. Kushinda mchezo mmoja kunaongeza hali ya kuendelea kupambana kwa ajili ya mechi inayofuata. Licha ya kwamba mchezo wa mpira…
AZAM FC DAKIKA 180 NI MATESO
NDANI ya dakika 180, ukuta wa Azam FC umeruhusu mabao sita katika mechi za Ligi Kuu Bara. Ilianza dhidi ya Yanga 3-2 Azam FC huku mabao yote Kwa Azam FC yalifungwa na Aziz KI. Oktoba 28 2023 ubao wa Uwanja wa Azam Complex ulisoma Azam FC 1-3 Namungo FC. Mabao ya Namungo FC yalipachikwa na…
BOSI SIMBA ATUPA KOMBORA YANGA SC
MARA baada ya kuondolewa na Al Ahly ya nchini Misri katika michuano ya African Football League (AFL), Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amesema kuwa sasa hivi akili zao wanazielekeza katika Ligi Kuu Bara na kikubwa kurejea kileleni. Kauli hiyo huenda ikawa kijembe kwa wapinzani wao, Yanga ambao wanaongoza ligi wakiwa na…
STRAIKA WA MABAO HANA FURAHA SIMBA
HABARI mbaya kwa mashabiki wa Simba zinadai kuwa mshambuliaji wao raia wa Zambia, Moses Phiri hana furaha ndani ya timu hiyo na huenda akaondoka kikosini hapo kama mambo yataendelea kuwa magumu kwake. Phiri ndani ya Simba amekuwa na wakati mgumu kutokana na kushindwa kupata nafasi ya kucheza katika kikosi cha kwanza cha timu hiyo. Msimu…
FANYA HAYA ILI USHINDE KASINO YA MTANDAONI MERIDIANBET
Kasino ya Mtandaoni Meridianbet kwa kushirikiana Expanse Studios wamekuja na sloti ya kijanja ya Blackjack Live/ mchezo wa karata ni sloti yenye maudhui na sheria za Ulaya unaochezeshwa mubashara kwakutumia kibunda chenye karata 8. Mchezo wa Blackjack Live ni mchezo unaopendwa na kuchezwa sana ulimwenguni. Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inakupa burudani na ushindi kupitia…