Watoto wa mjini wanakwmabia habari ya mjini ni Meridianbet pekee, sasa unajiuliza utakuwaje mtoto wa mjini we ingia www.meridianbet.co.tz sasa utengeneze mkeka wako wikendi hii kuanzia leo uweze kutusua mapene yatolewayo na kampuni hii ya ubashiri Tanzania.
Hispania LALIGA itaendelea kuanzia leo na mfungua dimba ni Girona dhidi ya RC Celta de Vigo. Mwenyeji ana pointi sawa na kinara wa ligi na ushindi wa leo utamuweka kileleni. Je mgeni atakuwa kikwazo licha ya nafasi yake ya 18 aliyopo? Bashiri sasa.
EL CLASSICO italigwa majira ya saa 11:15 jioni ambapo FC Barcelona atamualika Real Madrid na Xavi hajapoteza mechi yoyote hadi sasa. Nafasi kubwa ya ushindi amepewa mwenyeji akiwa na ODDS ya 2.55 kwa 2.60. Mara ya mwisho kukutana kwenye ligi Ancellotti na vijana wake walipoteza mchezo. Je nani ni nani kesho?
Saa 4:00 usiku Sevilla baada ya kutoa sare mchezo wake uliopita atakuwa ugenini dhidi ya Cadiz FC ambaye yupo nafasi ya 15. Mwenyeji ametoka kupoteza mechi yake iliyopita. Je kesho anaweza kupoteza tena mechi yake? Tengeneza mkeka wako hapa.
Cheza JACKPOT baab kubwa ya Meridianbet ambayo inajumisha mechi 13 kwa dau la shilingi 1000 pekee ambalo unaweza kujishindia jumla ya shilingi Milioni Mia Mbili za Kitanzania 2000,000,000. Hapa ndio Meridianbet bhana timiza ndoto zako sasa.
LIGUE 1 pia haipo nyuma kama kawaida kitawaka na mechi ya kufungua wikendi hii itakuw ani kati ya Clermont Foot 63 dhidi ya OGC Nice. Wote wametoka kushinda mechi zao zilizopita. Nafasi ya kuondoka na pointi tatu Meridianbet amepewa mgeni akiwa na ODDS ya 1.95 kwa 4.11.
Majira ya saa 12:00 Stade Reims atakuwa uso kwa uso dhidi ya Lorient. Mwenyeji ana ODDS 1.64 kushinda mchezo huu na mheni wake amepewa ODDS 4.80. Nani kuondoka na ushindi hapo kesho?
Kivumbi kingine kitakuwa saa 4:00 katika dimba la Bollaert-Delelis ambapo RC Lens atakuwa mwenyeji wa FC Nantes ambaye yupo nafasi ya 07 na ODDS ya 5.48. Mwenyeji ana ODDS ya 1.57. Suka mkeka wako hapa.
EPL leo hii Crystal Palace atakuwa mwenyeji Totten Ham Spurs huku nafasi kubwa ya kushinda akipewa Ange na vijana wake wakiwa na 1.80 kwa 4.21. Mgenia anahitaji uhsindi kuendelea kujikita kileleni. Je itakuwa rahisi mbele ya Palace aliyetoka kujeruhiwa? Bashiri sasa.
Hapo hapo katika jiji la Mfalme kesho, majira ya saa 8:30 mchana Chelsea watakuwa Darajani kukiwasha dhidi ya Brentford ya Thomas Frank. The Blues walilazimsihwa sare mechi iliyopita, huku Nyuki wakitoa dozi nzito mchezo wao uliopita. Mara ya mwisho kukutan vijana wa Pochettino walipoteza. 1.61 ndio ODDS ya mwenyeji kushinda kwa 5.29. Suka mkeka wako hapa sasa.
Huku majira ya saa 11:00 vijana wa Mikel Arteta Arsenal, watakuwa pale Emirate kumenyana dhidi ya Sheffield United huku timu hiyo ya London inatazamia kupata ushindi ili ikae kileleni. Mgeni hajapata ushindi wowote toka ligi ianze. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 plae Meridianbet.
Kiwanja kingine kitakachowaka moto ni pale Vitality ambapo AFC Bournemouth atakipiga dhidi ya Burnley. Mwenyeji kushinda ana ODDS ya 2.16 kwa 3.19. Tofauti kati yao ni pointi 1 pekee. Nani kuibuka mbabe kesho?
Mechi ya mwisho pale EPL itakuwa majira ya saa 1:30 ambapo Newcastle United watakuwa ugenini dhidi ya Wolverhampton ambao wamepewa ODDS ya 4.11. Howe na vijana wake wamependelewa kushinda mchezo wakipewa ODDS ya 1.81. Mara ya mwisho kukutana Howe alishinda. Je kesho mwenyeji atalipa kisasi?
Ligi ya Italia, SERIE A, kama kawaida inatarajiwa kuendelea kuanzia hii leo ambapo Genoa atakuwa mwenyeji wa US Salernitana na mara ya mwisho kukutan walitoshana nguvu. Nafasi ya kushinda anayo mwenyeji akipewa ODDS ya 1.73 kwa 4.90. Beti sasa mechi hii.
Saa 10:00 jioni kesho Sassuolo Calcio atamenyana dhidi ya Bologna. Tofauti ya pointi kati yao ni 4. Mwenyeji yupo nafasi ya 13 na mgeni wake nafasi ya 8. Je nani kuondoka na ushindi hapo kesho?
Torino atakuwa ugenini dhidi ya US Lecce katika dimba la Via del Mare huku nafasi ya kushinda akipewa yoyote kwa ODDS zao za 2.74 kwa 2.74. Ingia meridianbet na ubeti mechi hii sasa.
Bibi Kizee wa Turin, Juventus atacheza dhidi ya Hellas Verona ambaye katoka kupoteza mechi yake iliyopita. Vijana wa Allegri wanahitaji ushindi kupanda kileleni wakiwa na ODDS ya 1.32. Je watazuiwa wakiwa dimba la nyumbani. Beti hapa.
BUNDESLIGA ya moto wikendi hii na ubabe utaanzia leo hii majira ya saa 3:30 VFL Bochum atakuwa nyumbani kumanyana dhidi ya FSV Mainz ambaye ametoka kupoteza mchezo wake uliopita. Mara ya mwisho kukutana mgeni alihinda. Je leo hii mwenyeji kulipa kisasi?
Mechi zingine zitaendelea hapo kesho ambapo Borussia Monchengladbach atakuwa mwenyeji wa FC Heidenheim. Wote wametoka kupoteza mechi zao zilizopita, huku nafasi ya kushinda anayo mwenyeji akiwa na ODDS ya 1.77 kwa 3.92. Bashiri sasa mechi hii.
RB Leipzig ambaye kapewa ODDS 1.42 atamkaribisha FC Cologne wenye ODDS 6.66. Mara ya mwisho kukutana walitoshana nguvu. Tofauti ya pointi kati yao ni 13. Mwenyeji yupo nafasi ya 5 na mgeni ya 16.