Afisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe baada ya ushindi akakutana na Shabiki wa Azam FC mwenye majonzi mazito aliyeshindwa hata kuzungumza.
Kamwe alichofanya ni kumfuta machozi na kumwambia kuwa hasira zake akamalizie kwa Simba.