Leo hii ligi mbalimbali zinaendelea ambapo tayari Meridianbet wamekuhakikishia mkwanja wa maana endapo utabashiri mechi hizo kwa usahihi kwani hapa kuna kila ambacho wewe unakitaka.
EPL kutimua vumbi majira ya saa 4:00 ambapo Fulham atakuwa ugenini dhidi ya Spurs ya Ange. Ikumbukwe kuwa vijana hao wa London hawajapoteza mechi yoyote hadi sasa. Mara ya mwisho kukutana Spurs walishinda mchezo huo. Mechi hii ina ODDS KUBWA Meridianbet.
Ligi kuu ya Tanzania NBC itaendelea leo hii kwa mchezo mkubwa kabisa ambao ni DERBY ya Dar es salaam itakayowakutanisha Yanga na Azam katika dimba la Benjamin Mkapa majira ya saa 12:30 jioni.
Yanga amepoteza mchezo mmoja mpaka sasa akishinda minne kwenye michezo mitano aliyocheza huku kwa Azam yeye ameshinda minne na kutoa sare mchezo mmoja. Mara ya mwisho kukutana, vijana wa Gamondi waliondoka na ushindi, na leo hii nafasi kubwa ya kushinda mechi hii amepewa mwenyeji akiwa na ODDS ya 1.37 kwa 7.05. Beti mechi hii na Meridianbet sasa.
Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.
SERIE A itapigwa michezo miwili na wa kwanza kabisa utakuwa ni kati ya Udinese dhidi ya US Lecce majira ya saa 1:30 usiku, na takwimu zinaonyesha kuwa mwenyeji hajashinda mechi yoyote kati ya 8 alizocheza huku mgeni wake akishinda mitatu na kwenda sare tatu. 2.20 ndio ODDS ya mwenyeji kushinda na mgeni amepewa 3.43. Wewe beti yako unaiwek awapi kati ya hawa wawili?
Vilevile ligi ya Hispania, LALIGA kitawaka vilivyo katika dimba la Mestalla ambapo Valencia aliyepo nafasi ya 10 atamualika kwake Cadiz ambaye yupo nafasi ya 15. Mara ya mwisho kukutana, mgeni alishinda. Machaguo zaidi ya 1000 yapo mechi hii.