AZAM FC YAPOTEZA MZIZIMA DABI

MZIZIMA Dabi imezizima Uwanja wa Mkapa hukuAzam FC wakiwa mashuhuda wakiyeyusha pointi tatu mbele ya wapinzani wao Yanga. Unakuwa ni mchezo wa kwanza kwa Azam FC kupoteza kwa msimu wa 2023/24 kwenye mchezo wa leo ambao ulikuwa na ushindani mkubwa. Baada ya dakika 90 kumeguka ubao umesoma Yanga 3-2 Azam FC katika msako wa poiñti…

Read More

MZIZIMA DABI: YANGA 3-2 AZAMM FC

MZIZIMA Dabi inapigwa Oktoba 23,2023 Uwanja wa Mkapa kwa kila timu kusaka pointi tatu muhimu baada ya dakika 45. Dakika 45 za mwanzo timu zote zinakwenda  bao ulikuwa unasoma 1-1. Ni Aziz KI alianza kufunga kwa Yanga dakika ya 8 akimtungua Idrissu Abdulai na bao la usawa kwa Azam FC limefungwa na Gibrril Sillah dakika…

Read More

Utajiri Leo Hii Upo Meridianbet Bashiri Sasa

Leo hii ligi mbalimbali zinaendelea ambapo tayari Meridianbet wamekuhakikishia mkwanja wa maana endapo utabashiri mechi hizo kwa usahihi kwani hapa kuna kila ambacho wewe unakitaka. EPL kutimua vumbi majira ya saa 4:00 ambapo Fulham atakuwa ugenini dhidi ya Spurs ya Ange. Ikumbukwe kuwa vijana hao wa London hawajapoteza mechi yoyote hadi sasa. Mara ya mwisho kukutana…

Read More

FEI TOTO ANA BALAA HUYO

NYOTA Feisal Salum (Fei Toto) ana balaa huyo ndani ya uwanja kwa kuwa namba moja kwenye utupiaji wa mabao ndani ya Azam FC. Ndani ya Ligi Kuu Bara katupia mabao manne ambapo ni mchezaji wa kwanza kufunga hat trick ndani ya ligi alipofunga kwenye mchezo wa kwanza Uwanja wa Azam Complex. Alianza kucheka na nyavu…

Read More

HIZI HAPA SILAHA ZA GAMONDI DHIDI YA AZAM FC

MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa wachezaji wake wote wapo tayari kwa ajili ya mchezo dhidi ya AzamFC. Leo ni Mzizima Dabi inatarajjiwa kupigwa Uwanja wa Mkapa, Oktoba 23 kwa wababe wawili kusaka pointi tatu. Miongoni mwa silaha ambazo zipo tayari kuikabili Azam FC ni Skudu Makudubela, Farid Mussa, Khalid Aucho, Jesus…

Read More