CHEZA AVIATOR KWA WINGI UPATE BETI ZA BURE MWEZI HUU

Kama ilivyo kawaida, Meridianbet inaendelea kuwavutia wateja wao ambapo safari hii wamekuja na promosheni kabambe kutoka kwenye mchezo wao wa kasino maarufu kama Aviator ambao ulianza toka tarehe 12 na uanendelea hadi mwisho wa mwezi. Promosheni hiyo imekuja na kwa lengo la kutoa beti za bure kwa wale wateja wao ambao wanacheza mchezo huo wa…

Read More

HAALAND NI MVUNJAVUNJA REKODI KIMATAIFA

Premier League ndio ligi yenye ushindani mkubwa duniani. Ubora wa ulinzi, ushambuliaji na karibu kila nyanja ya soka iko katika kiwango cha juu zaidi. Baadhi ya wachezaji hufanikiwa kuvuka viwango hivyo na kujikuta wakihusika katika mabao mengi (mabao&asisti). Leo tunaangalia wachezaji 10 bora wa Premier waliotoa mchango wa mabao mengi zaidi mwaka 2023. Takwimu hazihusishi…

Read More

YANGA YAIPIGIA HESABU HIZI AZAM FC

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga hesabu kubwa kwa sasa ni kuelekea mchezo wao wa ligi dhidi ya Azam FC unaotarajiwa kuchezwa Oktoba 23, Uwanja wa Azam Complex. Chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi timu hiyo ilitoka kukomba pointi tatu dhidi ya Geita Gold kwa kushuhudia ubao wa Uwanja wa CCM Kirumba ukisoma Geita…

Read More

NYOTA WA AZAM FC WASUKWA KUIKABILI YANGA

ZIMEBAKI siku tatu kabla ya Mzizima Dabi kupigwa ndani ya Uwanja wa Azam Complex, mastaa wa Azam FC ikiwa ni pamoja na Prince Dube, James Akamiko, Idd Suleiman, (Nado) wanapewa mbinu kuikabili Yanga. Mastaa hao wapo chini ya Kocha Mkuu, Yusuph Dabo aliyetoka kukiongoza kikosi kusepa na pointi tatu ugenini dhidi ya Coastal Union, kwenye…

Read More

HIZI HAPA TIMU ZENYE WASTANI MZURI WA KUFUNGA BONGO

BADO haijafahamika nani atasepa na taji la ligi kutokana na mwanzo kuwa mgumu, ushindani ukipamba moto kila idara kuanzia ile ya ushambuliaji mpaka ulinzi. Ikiwa ni mwanzo wa ligi kuna timu ambazo zina kasi kwenye utupiaji wa mabao zikiwa na wastani unaovutia kila zinaposhuka uwanjani. Nyingine bado zinajitafuta kufikia ile kasi waipendayo. Hapa tunakuletea timu…

Read More

MAJEMBE YA GAMONDI YANGA HAYA HAPA

MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga katika kikosi chake ana majembe mawili ya kazi yanayompa kiburi cha kuwa imara kwenye upande wa ulinzi kutokana na kuwapa nafasi mara kwa mara. Katika Ligi Kuu Bara, Yanga kwenye mechi tano ilizocheza ilitunguliwa mabao mawili pekee ubao wa Uwanja wa Highland Estate ulisoma Ihefu 2-1 Yanga, bao la…

Read More

MASHINE ZA KUWAMALIZA WAARABU ZATAJWA NA SIMBA

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa uwepo wa wachezaji wanaofanya vizuri kwenye kikosi hicho eneo la uwanja wa mazoezi ni nguvu kubwa kuelekea mchezo wao dhidi ya Al Ahly unaotarajiwa kuchezwa Oktoba 20. Kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira kinaendelea na mazoezi kuelekea mchezo wa African Football League  utakaochezwa Uwanja wa Mkapa….

Read More