VIDEO: MENEJA WA IDARA YA SIMBA AKIBANDIKA STIKA ZA AFL

KUELEKEA mchezo wa African Football League kati ya Simba v Al Ahly ya Misri, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba Ahmed Ally ameendeleza kampeni ya kubandika stika kwenye magari ikiwa ni hamasa kuelekea mchezo huo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Oktoba 20,2023. Huo ni mchezo wa ufunguzi ambao utachezwa ndani ya ardhi ya…

Read More

MILIONI 10 ZA MAMA KUIBUKIA AFL

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa zawadi ya Tsh. 10 milioni kwa kila bao ambalo litafungwa na Simba. Huo ni mchezo wa African Football League ambao unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Oktoba 20,2023. Samia ameahidi kuwa kwa bao moja ambalo litafungwa katika mchezo wa African Football League dhidi ya…

Read More

DAKIKA ZA MOTO KWA MBRAZIL WA SINGINDA FOUNTAIN GATE

KOCHA mpya wa Singida Fountain Gate, Ricardo Ferreira kutoka Brazil ana kete nne ngumu kusaka pointi 12 kwenye mechi zake za mwanzo ndani ya timu hiyo. Ikumbukwe kwamba kocha huyo anakuja kuchukua mikoba ya Ernst Middendorp aliyekiongoza kikosi hicho kwenye mchezo mmoja dhidi ya Future uliochezwa Uwanja wa Azam Complex, Septemba 18. Katika mechi hizo nne…

Read More

UNJANJA WA NYOTA WA YANGA UPO HAPA

MAXI Nzengeli nyota wa Yanga mwenye spidi na uwezo wa kutoa pasi ndefu na fupi akiwa ndani ya uwanja ujanja wake wa kufunga mabao upo akiwa ndani ya 18.  Nyota huyo kacheza mechi tano za ligi akiyeyusha jumla ya dakika 309, katoa pasi moja ya bao na kujaza kimiani mabao matatu msimu wa 2023/24. Kwenye…

Read More

MAMILIONI KIGANJANI MWAKO NA BINGO YA PARIMATCH

KAMPUNI ya michezo ya kubahatisha Parimatch imeamua kuwapa fursa mpya wateja wake kwa kucheza Casino kiganjani ambayo imesheheni zaidi ya michezo 200 mikali ndani yake ikiwemo BINGO ambayo imeshika kasi kwa kupendwa na watu wengi. Hayo yamebainishwa na Ofisa Habari wa Parimatch Tanzania, Ismael Mohamed jijini amesema kwamba kupitia tovuti yao ya Parimatch wataweza kufurahia…

Read More

HAPA NDIPO ULIPO UJANJA WA MAXI BONGO

MAXI Nzengeli nyota wa Yanga mwenye spidi na uwezo wa kutoa pasi ndefu na fupi akiwa ndani ya uwanja ujanja wake wa kufunga mabao upo akiwa ndani ya 18. Nyota huyo kacheza mechi tano za ligi akiyeyusha jumla ya dakika 309, katoa pasi moja ya bao na kujaza kimiani mabao matatu msimu wa 2023/24. Kwenye…

Read More

MASTAA SIMBA WAJAZWA NOTI MAPEMAAA

WACHEZAJI wa Simba washindwe wao tu sasa hivi hiyo ni baada ya kuhakikishiwa kupewa pesa ya maana katika michezo miwili ya robo fainali ya AFL dhidi ya Al Ahly. Simba Oktoba 20 wanatarajiwa kukipiga dhidi ya Al Ahly katika mchezo wa kwanza wa michuano hiyo ya AFL dhidi ya Ahly utakaofanyika katika Uwanja wa Mkapa,…

Read More

MBABE WA YANGA KUIBUKIA MTIBWA SUGAR

ZUBER Katwila, aliyekuwa kwenye benchi Uwanja wa Highland Estate ubao uliposoma Ihefu 2-1 Yanga anatajwa kuwa katikà hesabu za mabosi wake wa zamani Mtibwa Sugar. Baada ya kupewa mkono wa asante ndani ya Ihefu Oktoba 14 2023 Nyerere Day kocha huyo alikuwa anatajwa kuibukia ndani ya Singida Fountain Gate. Dili lake la kuibukia hapo lilikwama…

Read More

CHEZA MICHEZO YA KASINO MTANDAONI NA MERIDIANBET UJIPIGIE MKWANJA WA KUTOSHA

Kampuni ya Meridianbet inaumiza kichwa kila wakati kuhakikisha wateja wake wanapiga mkwanja na sasa wamekuja na promosheni ambayo itawawezesha wateja wake kupiga mkwanja wa kutosha na kampuni hiyo huku sharti likiwa kucheza michezo ya kasino mtandaoni na kampuni hiyo. Promosheni hii itahusisha mashindano na washindi ndio wataweza kujipigia mkwanja wa kutosha kupitia michezo ya Kasino…

Read More