MALIZA JUMANNE YAKO VYEMA HUKU UKIPIGA MKWANJA NA MICHUANO YA EURO

Wewe kama mteja wa Meridianbet je bado unajiuliza utamalizaje siku ya leo? Basi mimi nakwmabia hivi Jumanne ya leo imalizie pale Meridianbet kwa kubashiri mechi za EURO uweze kukusanya maokoto kibao ambayo yanatolewa na kampuni hiyo.

Mechi yako ya kwanza ya uhakika ambayo itakupatia maokoto ya kutosha ni ile ambayo itakapigwa katika dimba la Wembley na mwenyeji atakuwa Uingereza ya Southgate dhidi ya Italia ya Spalletti na nafasi kubwa ya kushinda amepewa mwenyeji akiwa na ODDS ya 1.77 kwa 5.09. Nani kumfunga paka kenngele leo?

Mida ya saa 3.45 Serbia ambaye yupo nafasi ya pili, atazichapa dhidi ya Montenegro ambaye yupo nafasi ya tatu huku tofauti kati yao ni alama 2 pekee. 1.39  ndio ODDS ya ushindi ya mwenyeji na mgeni akiwa na ODDS ya 10.78. Ingia www.meridianbet,tz ubashiri sasa.

Mudryk na Ukraine yake watakuwa ugenini dhidi ya Malta huku mwenyeji akiwa ndio kibonde mpaka sasa akiwa hana pointi hata moja. Mara ya mwisho kukutana timu hizi mbili, Ukraine alishinda. Je mwenyeji anaweza kulipa kisasi leo?

Huku ukiendelea kucheza mechi hizi kumbuka sasa Meridianbet wamesikia ombi lako na wamekuletea Jackpot baab kubwa ambayo sasa ni Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau la shilingi 1000 pekee. Ingia na ubashiri mechi zako 13 uweze kupiga mkwanja huo. Na kwa wale wa USSD au kitochi menyu ni *149*10# bashiri na Meridianbet wakati wowote mahali popote.

Nao Hungary wakiwa kama vinara wa kundi G wakiwa na pointi 13, watakuwa wagenii kukiwasha dhidi ya Lithuania ambaye amepewa ODDS ya 8.03 sare ikipewa 4.11 na ushindi wa mgeni ukiwa na 1.32. Mwenyeji yupo nafasi ya 4 akiwa na pointi zake 5. Suka jamvi lako na ubashiri mechi hii.

Slovenia leo hii atakuwa mgeni dhidi ya Northern Ireland ambaye kapewa 3.14. Slovenia anaongoza kundi hilo akiwa na pointi zake 16 na mwenyeji akiwa na pointi 6 pekee. Je mwenyeji anaweza kufanya maajabu yoyote? Machaguo mengi yanapatikana hapa.

Mida hiyo hiyo San Marino atamleta nyumbani kwake Denmark ambaye yupo nafasi ya pili akiwa na pointi 16 sawa na kinara wa kundi hilo tofauti yao ikiwa ni magoli ya kufunga na kufungwa. Mwenyeji hajashinda mchezo wowote mpaka sasa. Weka mkeka wako sasa.

Naye Finland atakuwa dimbani leo kucheza Kazakhstan huku wote wakiwa wamecheza michezo 7 na wana pointi sawa 12, huku kinachowatofautisha ni magoli ya kufunga na kufungwa. Mara ya mwisho kukutana Finland waliibuka na ushindi. Je leo hii ni zamu ya mgeni kuondoka na pointi 3? Beti mechi hii sasa.