AZAM FC, TIMU BORA, BIDHAA BORA
MVURUGANO wa mipango hutibua mengi yanayotarajiwa kufanyika. Kufungashiwa virago katika anga la kimataifa kuliwarudisha chini na kuanza kujipanga upya kwa wakati ujao. Matajiri wa Dar, Azam FC wanazidi kujitafuta katika kuonyesha falsafa yao ya bidhaa bora, timu bora ndani ya Ligi Kuu Bara. Hasheem Ibwe, Ofisa Habari wa Azam FC ameweka wazi kuwa hesabu kubwa…